Lk. 5:36 SUV

36 Akawaambia na mithali, Hakuna akataye kiraka cha vazi jipya na kukitia katika vazi kuukuu; na kama akitia, amelikata lile jipya, na kile kiraka cha vazi jipya hakilingani na lile vazi kuukuu.

Kusoma sura kamili Lk. 5

Mtazamo Lk. 5:36 katika mazingira