Lk. 5:37 SUV

37 Wala hakuna mtu atiaye divai mpya katika viriba vikuukuu; na kama akitia, ile divai mpya itavipasua vile viriba, divai yenyewe itamwagika, na viriba vitaharibika.

Kusoma sura kamili Lk. 5

Mtazamo Lk. 5:37 katika mazingira