Lk. 6:34 SUV

34 Na mkiwakopesha watu huku mkitumaini kupata kitu kwao, mwaonyesha fadhili gani? Hata wenye dhambi huwakopesha wenye dhambi, ili warudishiwe vile vile.

Kusoma sura kamili Lk. 6

Mtazamo Lk. 6:34 katika mazingira