Lk. 6:35 SUV

35 Bali wapendeni adui zenu, tendeni mema, na kukopesha msitumaini kupata malipo, na thawabu yenu itakuwa nyingi; nanyi mtakuwa wana wa Aliye juu, kwa kuwa yeye ni mwema kwa wasiomshukuru, na waovu.

Kusoma sura kamili Lk. 6

Mtazamo Lk. 6:35 katika mazingira