Lk. 6:48 SUV

48 Mfano wake ni mtu ajengaye nyumba, na kuchimba chini sana, na kuweka msingi juu ya mwamba; na kulipokuja gharika, mto uliishukia nyumba ile kwa nguvu, usiweze kuitikisa; kwa kuwa imejengwa vizuri.

Kusoma sura kamili Lk. 6

Mtazamo Lk. 6:48 katika mazingira