Lk. 6:49 SUV

49 Lakini yule aliyesikia ila hakutenda, mfano wake ni mtu aliyejenga nyumba juu ya ardhi pasipokuwa na msingi, mto ukaishukia kwa nguvu, ikaanguka mara; na maangamizi yake nyumba ile yakawa makubwa.

Kusoma sura kamili Lk. 6

Mtazamo Lk. 6:49 katika mazingira