Lk. 8:13 SUV

13 Na wale penye mwamba ndio wale ambao wasikiapo hulipokea lile neno kwa furaha; nao hawana mizizi, huamini kitambo kidogo, na wakati wa kujaribiwa hujitenga.

Kusoma sura kamili Lk. 8

Mtazamo Lk. 8:13 katika mazingira