Lk. 8:14 SUV

14 Na zilizoanguka penye miiba ni wale waliosikia, na katika kuenenda kwao husongwa na shughuli na mali, na anasa za maisha haya, wasiivishe lo lote.

Kusoma sura kamili Lk. 8

Mtazamo Lk. 8:14 katika mazingira