Lk. 8:15 SUV

15 Na zile penye udongo mzuri, ndio wale ambao kwa unyofu na wema wa mioyo yao hulisikia neno, na kulishika; kisha huzaa matunda kwa kuvumilia.

Kusoma sura kamili Lk. 8

Mtazamo Lk. 8:15 katika mazingira