Lk. 8:24 SUV

24 Wakamwendea, wakamwamsha, wakisema, Bwana mkubwa, Bwana mkubwa, tunaangamia. Akaamka, akaukemea upepo na msukosuko wa maji, vikakoma; kukawa shwari.

Kusoma sura kamili Lk. 8

Mtazamo Lk. 8:24 katika mazingira