Lk. 8:25 SUV

25 Akawaambia, Imani yenu iko wapi? Wakaogopa, wakamaka, wakisema wao kwa wao, Ni nani huyu basi hata anaamuru upepo na maji, navyo vyamtii?

Kusoma sura kamili Lk. 8

Mtazamo Lk. 8:25 katika mazingira