10 Basi wale mitume waliporudi walimweleza mambo yote waliyoyatenda; akawachukua, akaenda nao faraghani mpaka mji mmoja uitwao Bethsaida.
Kusoma sura kamili Lk. 9
Mtazamo Lk. 9:10 katika mazingira