Lk. 9:11 SUV

11 Na makutano walipojua walimfuata; akawakaribisha, akawa akisema nao habari za ufalme wa Mungu, akawaponya wale wenye haja ya kuponywa.

Kusoma sura kamili Lk. 9

Mtazamo Lk. 9:11 katika mazingira