Lk. 9:12 SUV

12 Na jua likaanza kushuka; wakamwendea wale Thenashara, wakamwambia, Uage mkutano, ili waende katika vijiji na mashamba ya kandokando wapate mahali pa kulala na vyakula, maana hapa tulipo ni nyika tupu.

Kusoma sura kamili Lk. 9

Mtazamo Lk. 9:12 katika mazingira