Mdo 12:10 SUV

10 Na walipopita lindo la kwanza na la pili, wakaja hata mlango wa chuma wa kuingilia mjini, ukawafungukia wenyewe. Wakatoka nje, wakapita katika njia moja; mara malaika akamwacha.

Kusoma sura kamili Mdo 12

Mtazamo Mdo 12:10 katika mazingira