Mdo 12:11 SUV

11 Hata Petro alipopata fahamu akasema, Sasa nimejua yakini ya kuwa Bwana amempeleka malaika wake na kunitoa katika mkono wa Herode na katika kutazamia kote kwa taifa la Wayahudi.

Kusoma sura kamili Mdo 12

Mtazamo Mdo 12:11 katika mazingira