Mdo 12:12 SUV

12 Na alipokuwa akifikiri haya akafika nyumbani kwa Mariamu, mamaye Yohana, ambaye jina lake la pili ni Marko; na watu wengi walikuwa wamekutana humo wakiomba.

Kusoma sura kamili Mdo 12

Mtazamo Mdo 12:12 katika mazingira