25 Na Barnaba na Sauli, walipokwisha kutimiza huduma yao, wakarejea kutoka Yerusalemu, wakamchukua pamoja nao Yohana aitwaye Marko.
Kusoma sura kamili Mdo 12
Mtazamo Mdo 12:25 katika mazingira