6 Hata wakati Herode alipotaka kumtoa, usiku ule ule Petro alikuwa analala katikati ya askari wawili, amefungwa minyororo miwili; walinzi mbele ya mlango wakailinda gereza.
Kusoma sura kamili Mdo 12
Mtazamo Mdo 12:6 katika mazingira