Mdo 12:7 SUV

7 Mara malaika wa Bwana akasimama karibu naye, nuru ikamulika mle chumbani, akampiga Petro ubavuni, akamwamsha, akisema, Ondoka upesi. Minyororo yake ikamwanguka mikononi.

Kusoma sura kamili Mdo 12

Mtazamo Mdo 12:7 katika mazingira