Mdo 13:2 SUV

2 Basi hawa walipokuwa wakimfanyia Bwana ibada na kufunga, Roho Mtakatifu akasema, Nitengeeni Barnaba na Sauli kwa kazi ile niliyowaitia.

Kusoma sura kamili Mdo 13

Mtazamo Mdo 13:2 katika mazingira