Mdo 16:13 SUV

13 Hata siku ya sabato tukatoka nje ya lango, tukaenda kando ya mto, ambapo tukadhani ya kuwa pana mahali pa kusali; tukaketi, tukasema na wanawake waliokutana pale.

Kusoma sura kamili Mdo 16

Mtazamo Mdo 16:13 katika mazingira