Mdo 16:14 SUV

14 Mwanamke mmoja, jina lake Lidia, mwenye kuuza rangi ya zambarau, mwenyeji wa Thiatira, mcha Mungu, akatusikiliza, ambaye moyo wake ulifunguliwa na Bwana, ayatunze maneno yaliyonenwa na Paulo.

Kusoma sura kamili Mdo 16

Mtazamo Mdo 16:14 katika mazingira