Mdo 16:15 SUV

15 Hata alipokwisha kubatizwa, yeye na nyumba yake, akatusihi, akisema, Kama mmeniona kuwa mwaminifu kwa Bwana, ingieni nyumbani mwangu mkakae. Akatushurutisha.

Kusoma sura kamili Mdo 16

Mtazamo Mdo 16:15 katika mazingira