Mdo 16:16 SUV

16 Ikawa tulipokuwa tukienda mahali pale pa kusali, kijakazi mmoja aliyekuwa na pepo wa uaguzi akatukuta, aliyewapatia bwana zake faida nyingi kwa kuagua.

Kusoma sura kamili Mdo 16

Mtazamo Mdo 16:16 katika mazingira