Mdo 16:25 SUV

25 Lakini panapo usiku wa manane Paulo na Sila walikuwa wakimwomba Mungu na kumwimbia nyimbo za kumsifu, na wafungwa wengine walikuwa wakiwasikiliza.

Kusoma sura kamili Mdo 16

Mtazamo Mdo 16:25 katika mazingira