Mdo 16:26 SUV

26 Ghafula pakawa tetemeko kuu la nchi, hata misingi ya gereza ikatikisika, na mara hiyo milango ikafunguka, vifungo vya wote vikalegezwa.

Kusoma sura kamili Mdo 16

Mtazamo Mdo 16:26 katika mazingira