Mdo 16:27 SUV

27 Yule mlinzi wa gereza akaamka, naye alipoona ya kuwa milango ya gereza imefunguka, alifuta upanga, akataka kujiua, akidhani ya kuwa wafungwa wamekimbia.

Kusoma sura kamili Mdo 16

Mtazamo Mdo 16:27 katika mazingira