Mdo 17:28 SUV

28 Kwa maana ndani yake yeye tunaishi, tunakwenda, na kuwa na uhai wetu. Kama vile mmoja wenu, mtunga mashairi alivyosema, Maana sisi sote tu wazao wake.

Kusoma sura kamili Mdo 17

Mtazamo Mdo 17:28 katika mazingira