Mdo 17:29 SUV

29 Basi, kwa kuwa sisi tu wazao wa Mungu, haitupasi kudhani ya kuwa Uungu ni mfano wa dhahabu au fedha au jiwe, vitu vilivyochongwa kwa ustadi na akili za wanadamu.

Kusoma sura kamili Mdo 17

Mtazamo Mdo 17:29 katika mazingira