Mdo 17:30 SUV

30 Basi, zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazioni; bali sasa anawaagiza watu wote wa kila mahali watubu.

Kusoma sura kamili Mdo 17

Mtazamo Mdo 17:30 katika mazingira