31 Kwa maana ameweka siku atakayowahukumu walimwengu kwa haki, kwa mtu yule aliyemchagua; naye amewapa watu wote uthabiti wa mambo haya kwa kumfufua katika wafu.
Kusoma sura kamili Mdo 17
Mtazamo Mdo 17:31 katika mazingira