Mdo 18:23 SUV

23 Hata akiisha kukaa huko siku kadha wa kadha akaondoka, akapita kati ya nchi ya Galatia na Frigia, mji kwa mji, akiwathibitisha wanafunzi.

Kusoma sura kamili Mdo 18

Mtazamo Mdo 18:23 katika mazingira