Mdo 18:24 SUV

24 Basi Myahudi mmoja, jina lake Apolo, mzalia wa Iskanderia, mtu wa elimu, akafika Efeso; naye alikuwa hodari katika maandiko.

Kusoma sura kamili Mdo 18

Mtazamo Mdo 18:24 katika mazingira