Mdo 18:5 SUV

5 Hata Sila na Timotheo walipotelemka kutoka Makedonia, Paulo akasongwa sana na lile neno, akiwashuhudia Wayahudi ya kwamba Yesu ni Kristo.

Kusoma sura kamili Mdo 18

Mtazamo Mdo 18:5 katika mazingira