Mdo 18:6 SUV

6 Walipopingamana naye na kumtukana Mungu, akakung’uta mavazi yake, akawaambia, Damu yenu na iwe juu ya vichwa vyenu; mimi ni safi; tangu sasa nitakwenda kwa watu wa Mataifa.

Kusoma sura kamili Mdo 18

Mtazamo Mdo 18:6 katika mazingira