Mdo 19:32 SUV

32 Basi wengine walikuwa wakilia hivi na wengine hivi; kwa maana ule mkutano ulikuwa umechafuka-chafuka, na wengi wao hawakuijua sababu ya kukusanyika kwao pamoja.

Kusoma sura kamili Mdo 19

Mtazamo Mdo 19:32 katika mazingira