Mdo 19:33 SUV

33 Wakamtoa Iskanda katika mkutano, Wayahudi wakimweka mbele ya watu. Iskanda akawapungia mkono, akitaka kujitetea mbele ya wale watu.

Kusoma sura kamili Mdo 19

Mtazamo Mdo 19:33 katika mazingira