15 Tukatweka kutoka huko, na siku ya pili tukafika mahali panapokabili Kio; siku ya tatu tukawasili Samo, tukakaa Trogilio, siku ya nne tukafika Mileto.
Kusoma sura kamili Mdo 20
Mtazamo Mdo 20:15 katika mazingira