Mdo 22:29 SUV

29 Basi wale waliokuwa tayari kumwuliza wakaondoka wakamwacha. Na yule jemadari naye akaogopa, alipojua ya kuwa ni Mrumi, na kwa sababu amemfunga.

Kusoma sura kamili Mdo 22

Mtazamo Mdo 22:29 katika mazingira