Mdo 22:30 SUV

30 Siku ya pili yake akitaka kujua hakika, ni kwa sababu gani ameshitakiwa na Wayahudi, akamfungua, akawaamuru wakuu wa makuhani na baraza yote wakutane. Akamleta Paulo chini, akamweka mbele yao.

Kusoma sura kamili Mdo 22

Mtazamo Mdo 22:30 katika mazingira