Mdo 23:11 SUV

11 Usiku ule Bwana akasimama karibu naye, akasema, Uwe na moyo mkuu; kwa sababu, kama ulivyonishuhudia habari zangu Yerusalemu, imekupasa kunishuhudia vivyo hivyo Rumi nako.

Kusoma sura kamili Mdo 23

Mtazamo Mdo 23:11 katika mazingira