Mdo 23:21 SUV

21 Basi wewe usikubali; kwa maana watu zaidi ya arobaini wanamwotea, wamejifunga kwa kiapo wasile wala wasinywe hata watakapomwua; nao sasa wako tayari, wakiitazamia ahadi kwako.

Kusoma sura kamili Mdo 23

Mtazamo Mdo 23:21 katika mazingira