Mdo 23:22 SUV

22 Basi yule jemadari akamwacha kijana aende zake, akimwagiza, Usimwambie mtu awaye yote ya kwamba umeniarifu haya.

Kusoma sura kamili Mdo 23

Mtazamo Mdo 23:22 katika mazingira