Mdo 23:9 SUV

9 Pakawa na makelele mengi. Waandishi wengine wa upande wa Mafarisayo wakasimama, wakateta, wakisema, Hatuoni uovu wo wote katika mtu huyu; bali ikiwa roho au malaika amesema naye, ni nini?

Kusoma sura kamili Mdo 23

Mtazamo Mdo 23:9 katika mazingira