Mdo 24:5 SUV

5 Kwa maana tumemwona mtu huyu mkorofi, mwanzilishi wa fitina katika Wayahudi wote duniani, tena ni kichwa cha madhehebu ya Wanazorayo.

Kusoma sura kamili Mdo 24

Mtazamo Mdo 24:5 katika mazingira