39 Kulipokucha hawakuitambua ile nchi, ila waliona hori yenye ufuo, wakashauriana kuiegesha merikebu huko, kama ikiwezekana.
Kusoma sura kamili Mdo 27
Mtazamo Mdo 27:39 katika mazingira