Mdo 27:40 SUV

40 Wakazitupilia mbali zile nanga, na kuziacha baharini, pamoja na kuzilegeza kamba za sukani, wakalitweka tanga dogo ili liushike upepo, wakauendea ule ufuo.

Kusoma sura kamili Mdo 27

Mtazamo Mdo 27:40 katika mazingira