Mdo 4:31 SUV

31 Hata walipokwisha kumwomba Mungu, mahali pale walipokusanyika pakatikiswa, wote wakajaa Roho Mtakatifu, wakanena neno la Mungu kwa ujasiri.

Kusoma sura kamili Mdo 4

Mtazamo Mdo 4:31 katika mazingira