Mdo 4:32 SUV

32 Na jamii ya watu walioamini walikuwa na moyo mmoja na roho moja; wala hapana mmoja aliyesema ya kuwa kitu cho chote alicho nacho ni mali yake mwenyewe; bali walikuwa na vitu vyote shirika.

Kusoma sura kamili Mdo 4

Mtazamo Mdo 4:32 katika mazingira